Leo Asubuhi hii radio free africa ilikuwa imeweka kipindi cha Dk Haizaki Ndodi
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,NA KIKE,je ni halali,ni sawa, kwani 2mezoea kukipata Usku tena mda ambao niwa wanandoa,na wapenzi, wanajf nini maoni yako!
Frankly speaking Dr. Ndodi mwenyewe huwa anaanza na ule utani wake kuwaambia watoto nendeni kulala nataka niongee na wazazi wenu. Tatizo la leo si Dr Ndodi pia nadhani haikuwa "LIVE" ni kipindi walichorusha juzi au jana usiku kwa kweli kurusha mambo kama hayo na watoto wanasikia asubuhi subuhi namna hii ni "UTOVU WA NIDHAMU WA CHOMBO HUSIKA" inabidi waombe radhi kwa kitendo hicho kama ilikuwa LIVE basi jamii imeharibika na Ndodi amekwisha HEKIMA na BUSARA zake. Nilimuamini sana Dr. Ndodi.