Amekubishia nini mkuu?Yaani ukikiona tu kilivyo unajua hapa kazi ipo, kwa maana ni kibishi ajabu hakikubali kushindwa hata kama matokeo kinayajua tayari lkn ubishi tu!
Kwasababu unashabikia chama cha Majipu?Wapiga kura wamemtumbua. Yani nimetokea kutowapenda watu wanoko wanoko... Hata kama wanaongea ukweli...
No! Tangu nasoma hata walimu wanoko wanoko siwapendi, na hata watu kama hao wakigombea ni ngumu sana kuwachagua kwa kuwa najua tu watu wanoko wanoko huwa sio watu wa maendeleo... We angalia tu hata shuleni kama walimu wanoko wanoko walikuwa wanaongoza kwa kufaulisha. Utangundua walimu wanoko wanafunzi wao hawafanyi vizuri kwenye masomo...Kwasababu unashabikia chama cha Majipu?