Mkuu si hata mimi nimeshangaa hapo?Mbona nawaona Makomandoo wa Yanga kwa nyuma
Watupe mrejesho wa FIFA hao mikia. Hatujasahau mjue.Makao Makuu ya wapi ?
Hata Blagnon si mliambiwa eti Arsnenal wanamtaka alivyo mpiga mabao!! Ona mara ngapi alikuwa ndani ya 18 players. Usanii tuu mnaliwa lkn bado mnashangilia upuuzi !!
Uzuri mwaka huu mtashiriki kwenye kombe la shirikisho tutawaona huo ubora mnaojivunia kila Mara. Na muombe msipangwe na Fc Libolo shughuli yake mnaijua.Nyie majani ya chai haya maneno yote yanayowatoka kwa timu ipi mliyonayo, timu yenye dhamani kubwa mnakutana timu isiyo na dhamani inakung'uta, unaenda nje wanawatoa Comoro tu, ukikutana timu nje ya Comoro nje, miaka minne mnakaa mnajivunia, muhindi amepoteza hela zake oh tunasajili wachezaji wenye uwezo wa kupambana kimataifa, ila hali inabaki ile ile miaka minne, walivyo na akili za pamba unamuondoa Plugin wanamchukua Lwandamina eti sababu dau lake dogo tu. Jiandae tucheze mpira wetu wa kibongo wa kujifurahisha hapahapa, kimataifa ni aibu, timu inashiriki miaka minne mfurulizo inaishia raundi ya pili, tena ya kwanza lazima mpangwe na timu ya Comoro ama Djibuti, alafu mmekaa mashabiki mnajivunia mafanikio.
Yes sisi huwa tunaweka mziki, sio maneno.Uzuri mwaka huu mtashiriki kwenye kombe la shirikisho tutawaona huo ubora mnaojivunia kila Mara. Na muombe msipangwe na Fc Libolo shughuli yake mnaijua.
Makao Makuu ya wapi ?
Hata Blagnon si mliambiwa eti Arsnenal wanamtaka alivyo mpiga mabao!! Ona mara ngapi alikuwa ndani ya 18 players. Usanii tuu mnaliwa lkn bado mnashangilia upuuzi !!