Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,374
- 5,011
Nyie majani ya chai haya maneno yote yanayowatoka kwa timu ipi mliyonayo, timu yenye dhamani kubwa mnakutana timu isiyo na dhamani inakung'uta, unaenda nje wanawatoa Comoro tu, ukikutana timu nje ya Comoro nje, miaka minne mnakaa mnajivunia, muhindi amepoteza hela zake oh tunasajili wachezaji wenye uwezo wa kupambana kimataifa, ila hali inabaki ile ile miaka minne, walivyo na akili za pamba unamuondoa Plugin wanamchukua Lwandamina eti sababu dau lake dogo tu. Jiandae tucheze mpira wetu wa kibongo wa kujifurahisha hapahapa, kimataifa ni aibu, timu inashiriki miaka minne mfurulizo inaishia raundi ya pili, tena ya kwanza lazima mpangwe na timu ya Comoro ama Djibuti, alafu mmekaa mashabiki mnajivunia mafanikio.