Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Wana wa bodi habari zenu .
Hivi karibuni Baba wa kaya kule Nigeria Bw. Goodluck Jonathan with his regimes wameomba peace talks na Boko Haram .
Chagizo chocheo la kupelekea legal Government kuomba mazungumzo ni wale wadada 200 waliotekwa na vijana wa Abubakar Shekau.
Navyojua mimi Boko Haram ni Rebal (hilo halina ubishi)
Nini mantiki ya kuomba peace talks na rebal kama sio kusarenda ?
Hadithi ya RENAMO na FRELIMO haiwezi kujirudia na hapa?
Jonathan yuko sahihi ? Au kuna yaliyo nyuma ya pazia hatuyajui ?
Nakumbuka zamani nikiwa "kijana m'bichi" (lakini sio kwa maana hiyoo! Mnayoifikiria nyinyi)
Ilikua ukileta tu jamvini suala kama hili , basi haipiti nusu saa ushapata majawabu .