Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,902
Habari zenu Wakuu.
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nikaona video wanafunzi wa Secondary wanacheza Singeli huku wakiwa wamevaa Hijabu.
Kwenye video hiyo visichana hivyo vinaonekana vikikata mauno mithili ya Mvua ya Elnino, huku kamera-man akitumia ufundi kupata video hizo.
NIME-SCREENSHOT VIDEO MAANA VIDEO YENYEWE NI SHIDA
Nawakumbusha wanaume wenzangu kuwa, Mwanamke kuvaa Majuba/Hijab sio ishara ya kuwa na Dini au maadili bali ni Vazi tu.
NB: KIZAZI CHASASA KIMEHARIBIKA KIMAADILI