Hiii kweli ni haki

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Yaani jamani kwa kweli interview ya siku hizi wizi mtupu unaingia katika chumba cha usaili watu wengu kumbe wataowapa kazi tayari washawajua wanawachagua kabla hata ya usaili ukienda katika usaili utakutia unaulizwa masuala magumu hata hayahusiani na sehemu uliomba ujuwe kua humo .
 
Usikate tamaa ipo siku na wewe utakua mmoja wa waliopata.
 
Hapo uombe mungu kwny hiyo interview usigombee post moja na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…