Waingereza na watu kutoka mataifa mbali mbali duniani wanaionea huruma Tanzania na watanzania kwa ujumla wake mara baada SSH kumteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingerea Tony Blair kuwa mshauri wa maswala ya Vovid-19 and biashara.
Wengi wa wanasema kuwa haya yote yasingetokea kama JPM anagalikuwa hai.
Hizi ni baadhi ya tweet;
"She may live to regret this."
"Well we know where Tanzania is going then. Totally in the pocket of the WHO and the covid power brokers. B-lair is such a snake".
"To entrust the lamb to the wolf".
"The capo has been sent to make an offer she can't refuse."
"After strange death of former president...."
She had to. We all know what happened to president Magufuli that didn’t comply with the Covid-Nazis."
"If you ever see Tony Blair in your country just know you guys are about to be swindled immeasurably!".
"Pray for Tanzania " [emoji52]
Chanzo: Jamii ya Twitter.