mpesa, tigo pesa, airtel money..... vinashika kasi sana kwenye mapenzi, mengine ni makelele tu!!! love ilikua zamani banah
.kabisa mkuu bila PESA hakuna LOVE..wataimba we na story zao za magazetini but mwisho wa siku pesa ikikupiga chenga jitoe mwenyewe kwenye uwanja wa mpenzi..Jumlisha Pesa! Pesa ni care, Pesa ni real love, Pesa ni sabuni ya roho.^^
love=mahela mengiiiiiiiimpesa, tigo pesa, airtel money..... Vinashika kasi sana kwenye mapenzi, mengine ni makelele tu!!! Love ilikua zamani banah