Hii ya T.C.U imekaaje Wakuu....?!

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
647
72
Nimejaribu kucheki majina ya waliotemwa kwenye first round selection za TCU jina langu halipo lakini nimelog in my Profile utata ukanikumba kwenye Kipengele kiitwacho Selection Status bado zote nimeandikiwa Not yet Processed ilhali wamemaliza 1st round selection hapo imekaaje? Msaada kwa anayefahamu juu ya hyo kitu bt kozi zote niko Elligible.

NAPENDA KUWASILISHA
 
tulia wote ambao kwenye list waliyotoa hatupo profile zetu zinaonekana hvyo hvyo! So ni hivi kwenye zile course tano ulizochagua umepata moja wapo subiri uonyeshwe umepangiwa wapii! so ndo tusubirie cjui itakuwa linii
 
hata kwangu pale kwenye my profile zipo coz zote 5 na kwenye selection status nimeandikiwa NOT YET PROCESED ila kinachonipa utata ni pale kwenye SELECTED PROGROM wamenibakishia coz moja tu? Au ndo ipo sahihi? Msaada plz
 
mkuu ninavofahamu kama pale kwenye application ukifungua pakafunguka na ikaja orodha ya kozi basi utambue kuwa unatakiwa nawe ujaze yan hukuchaguliwa lakn pasipofunguka basi huna tatizo nahsi hyo yako yawezakuwa ni system error
 
hata kwangu pale kwenye my profile zipo coz zote 5 na kwenye selection status nimeandikiwa NOT YET PROCESED ila kinachonipa utata ni pale kwenye SELECTED PROGROM wamenibakishia coz moja tu? Au ndo ipo sahihi? Msaada plz

mkuu chek nw kwenye selected program haifungukii mbna hyo ya kwako itakuwa system failure nahc! Nachoona kwenye tcu accnt yangu na za marafik zang ambapo sote kwenye listi waliokosa hatupo, tulivo log in ni hv; uki click upande wa PROFILE ukaenda mpaka chin upande wa VIEW SELECTION STATUS tunakuta zile course tano vile vile kama tulivyojazaa zikiwa NOT YET PROCESSED! ukirud kwenye sehemu iliyoandikwa SELECTED PROGRAM haifunguki!!! bt ukija sehemu iliyoandikwa APPLICATION inafungka na inaonyesha baadhi ya course ambazo zimebaki ambazo zinatakiwa kujazwa na wanaojaza second round, so kwa mawazo yangu naona sehemu hyo ya APPLICATION haiwahusu wale ambao majina yao haya ku-appear kwenye waliokosa 1st round japokuwa kwenye tcu accnt zao inafungkaa hio sehemu!! Overrrr
 
Tuko pamoja mkuu hata mm hivo hivo
 
Wapendwa ya kwangu imeniletea yafuatayo,: The requested URL /2/userarea/
selectedprogram.php was not
found on this server. Apache/2.2.15 (CentOS)
Server at cas.tcu.go.tz Port 80
 
hata mimi wameniambia hivohivo ndugu,wenye kufahamu tusaidieni
 
Wapendwa ya kwangu imeniletea yafuatayo,: The requested URL /2/userarea/
selectedprogram.php was not
found on this server. Apache/2.2.15 (CentOS)
Server at cas.tcu.go.tz Port 80

nazani umetumia simu kufungua profile yako yes.. Ukitumia cm ukafungua hapo kwenye selected programe inaandka hvo bt uktumia computer hapafunguki..!! So mcjali hamna tatizo kabisa mmepita
 
kama iko hvi hamna tatizo.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1375345484130.jpg
    uploadfromtaptalk1375345484130.jpg
    2.6 KB · Views: 487
guys anayejua kuhusu wale walio omba kupitia matokeo ya diploma inakuaje jaman???

Any updte plzzzz:help::help::help::help::help:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom