Hii ya kuvua magamba ni kali!!!!!!

Kila siku tunapiga kelele kuhusu elimu tunaonekana wanafiki sasa hili bango limelipiwa na chama tawala Iringa hivi hakuna mtu wa ku edit hayo mabango?
 
nadhani hilo neneo la juu lina kiswahili chake cha kutoholewa kwa nini wasingetumia au walitaka na wao waonekane wajua kithungu???!!!!!!!!!!
 

Hapa ni Chiligati na Nape wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa CCm mkoa wa iringa na Bango lao la Vua magamba.
 
Nani kawadanganya kuwa kuvua gamba ni kupona? Amakweli Ccm wamedoda hawajui sumu imeathiri mfumo wadamu na hivyo kuvua gamba sikitu. Waoneeni huruma izraeli amewakaribia ndio maana wanatapatapa. Let them die wametufanya ombaomba wa neti kwa bush
 
hahahahaaaaa uuuuwiiii its sooo funny.

Bora wangeandika HARAKATI ZA KUVUA MAGAMBA....all ths best lakini kumbuka sumu haipo kwenye gamba bali ndani ya nyoka.:rant:
 
Watoto wa sekondari hao ndiyo waliyoandika!nakuambia darasa la 4 la mkoloni ni sawa na form 6 wa leo!
 
Naamini gamba hua linaota baada ya kipindi fulani ina maana hili litakapokuwa linaota watakuwa wanalivua kila likiota (kama nyoka ama mjusi)
 
Jamani kwani FEBRUARY yuko wapi si angewatumia hata kwenye sms wacopy???
 
nadhani hilo neneo la juu lina kiswahili chake cha kutoholewa kwa nini wasingetumia au walitaka na wao waonekane wajua kithungu???!!!!!!!!!!

jibu la uozo huu ni kuchukua wabunge 3o wa cdm and 30 wa ccm kisha wape interview ya issue yeyote ya kijamii...utapata jibu kwanini mabango yanakuwa hivyo.
 
Sijui jamaa kaandika kiingereza au kiswahili. Kazi tunayo bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…