Natafakari Kiongozi wa TFF kugombea Klabu na mgongano wa maslahi
mhhhhhh..nimekustukia........
Natafakari Kiongozi wa TFF kugombea Klabu na mgongano wa maslahi
Kiukweli haijakaa poa kabisa japo uko nyuma Imani Madega alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga, mjumbe wa kamati ya utendaji ya TFF na Mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa pwani kwa wakati mmoja hivyo kwa busara ya kawaida tu hata kama hakuna vifungu vya sheria au kanuni zinazozuia hii italeta mgongano wa kimaslahi tena mkubwa sana na hapo ndiyo tunapokosea sana kwenye soka letu.
Umetumwa wewe si bure......una mtaguswa wa uoande wa pili