Huu ndiyo mfumo bora wa kupiga kura bungeni.
Voting records za wanasiasa, hasa legislators ni kipimo kizuri sana!!
Mngewauliza wabunge wenu wa CDM voting records zao walipokuwa CCM, je walipitisha miswaada kama ya kuuza viwanda vyetu,miswaada ya madini, banking, pharmaceutical regulations,local governments etc...
Kama walipitisha, kwanini?