Hii ya Adam Malima na Tanesco ni tusi kwa watanzia.


Uko sahihi bingwa. kwani watanzania hawajui mitambo hiyo inakonunuliwa? umasaburi tu ndio unaowasumbua.
 
kwa kweli watanzania tumechoka na huu wizi wa mchana mchana jua kali kabisa, haiwezekani watanzania wanateseka kila iitwapo leo kwa ugumu wa maisha lakini kuna wengine kila siku wakiamka wanafikiria wafanye ufisadi gani. Watz swali la kujiuliza je tufanye nini sasa?
 
Hahaaahaaahaaa aisee kajamaa kana kiburi kama siyo jeuri. Halafu nasikia kameshajipatia eneo la uwekezaji katika madini ila sijui ni wapi. Tanzania nchi ya kifalme.
 

Katika kitu ambacho hakuna binaadam anaweza kukufundisha ni biashara. Kumbuka aggreko ndio kazi yao hiyo wameona tatizo na wanajuwa kuwa kuna "opportunity" wameleta mitambo wanakuambia tazama una tatizo hili na hili na hili, unataka mitambo hii hapa, ni ni cha ajabu hapo na hiyo ni "business strategy".

Ndio maana hatuendelei kwa mawazo duni kama yako.

Maswali yako mengine yote, hayana mshiko, hivi hujuwi kuwa Tanzania kuna sheria ambayo ina kuruhusu kufuwa umeme na ukauuza? Mbona hii imetangazwa sana tu? Kama Serikali hawataki kuinunuwa Aggreko wanafunga wanauza umeme, kama wanavyofanya wengine wengi tu, Artumas, Symbion, na hata kuna wenye majereta madogo huwa wanayakodisha hata ukiwa na shughuli tu wanakuletea. Sasa sioni cha ajabu nini kwa Aggreko kuleta genereta wakalitangaza kuwa kama una shida ya umeme lipo genereta hapa. Kwani hukumbuki hata mitambo yao ya kwanza waliileta kutoka wapi? Baadhi yake ilikuwa "standby" Kenya kama hujui.
 

Anza kuleta mkakati mkuu, baada ya kuchoka tunafanyaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…