sijakuelewa nini kilitoke mpaka tanga fresh kingia, boycott, assa alifanya kosa gani katika mazungumzo hyo etcIlianza hivi
View attachment 1746305
Bosi Kajibu
View attachment 1746306
Kilichofuata sasa ni boycott
View attachment 1746307
sijakuelewa nini kilitoke mpaka tanga fresh kingia, boycott, assa alifanya kosa gani katika mazungumzo hyo etc
Sasa kwanini haya maelezo usiyaweke juu hapo?Picha 1
mkurugenzi wa assas alisema kama vipi mama (Mh. Samia Suluhu) awe anaongea kila siku kabla ya kwenda kazi, huyu jamaa (mKigoma) kamjibu mkuregenzi kwa kumkumbushia enzi za JPM kuwa “huyu ni wewe” ? alivyo kuwa ana msifia.
Picha ya 2
mkurugenzi ka mind kaenda kufukunyua sms za jamaa alimtumia miaka 2 akimuomba kazi ya kutangaza bidhaa za assas, sasa wadau wa Twitter wamemjia juu mkurugenzi kwa nini katoa sms na namba ya simu ya jamaa hadharani.
Picha ya 3
kule Twitter kuna kampeni ya kukataa maziwa ya assas na kutangaza ya Tanga fresh.
Usipoelewa tena nakuzingua
asante sana nimekupata vema. kweli asusiwe hakupashwa kutoa inbox communications. Stupid kabisa. Huku tanga mimaziwa yke haiji nisingeliinunua shenzi kabisaPicha 1
mkurugenzi wa assas alisema kama vipi mama (Mh. Samia Suluhu) awe anaongea kila siku kabla ya kwenda kazi, huyu jamaa (mKigoma) kamjibu mkuregenzi kwa kumkumbushia enzi za JPM kuwa “huyu ni wewe” ? alivyo kuwa ana msifia.
Picha ya 2
mkurugenzi ka mind kaenda kufukunyua sms za jamaa alimtumia miaka 2 akimuomba kazi ya kutangaza bidhaa za assas, sasa wadau wa Twitter wamemjia juu mkurugenzi kwa nini katoa sms na namba ya simu ya jamaa hadharani.
Picha ya 3
kule Twitter kuna kampeni ya kukataa maziwa ya assas na kutangaza ya Tanga fresh.
View attachment 1746305
Bosi Kajibu
View attachment 1746306
Kilichofuata sasa ni boycott ya assas products na kuipa kiki tanga fresh
View attachment 1746307