hii vipi?

Ungeipiga hii picha kwa mbele...ningeweza kukujibu
 
Hiyo mibange mnayovuta ni stimu za kulanduka kama sio fani yako kwa kweli utaumbuka! Ndio haya sasa!
 
Imekaa vibaya,naona mshikaji kisha landuka na kitu cha kwa mzee madiba.
 
Lkn cha moto anakipata kwenye an...Hana tofauti na wanaume wala 'ubwabwa'
 
Inawezekana alikuwa na haraka sana kiasi cha kujisahau hata kuvaa nguo ili awahi huko aendako.
 
jamaa alikuwa mwizi wa baiskeli sana! sasa wa marekani weusi wenzake wamemroga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…