Voda gb zao zinaisha haraka sana,kifurusi cha elfu 10 gb 10 kwa wiki uwa kinaisha ndani ya siku 3 na hapo matumizi ni ya kawaida tu,nadhani ukitumia kwa kuangalia youtube,netflix au video yoyote online gb 10 zitaisha ndani ya masaa 10
Nasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online
ukweli ni kwamba hapa katikati airtel wamepata wateja wengi sana, yaani tigo imesahaulika kabisa. Hata sisi wabishi tumekuja airtel lakini naona bora turudi kulekule ttcl