Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Ni kweli. Nimejaribu maeneo fulani ya nje kidogo ya mji wangu Kama 20km sipati coverage
 
Unapewa Mb.200 alafu notification kifurushi kikiisha unaambiwa umetumia 90% ya mb zako 500 ?????? Faini waliopigwa juzi bilioni kadhaa mitandao ya simu inawatosha
Wawapige tena faini nyingine
 
You are right mkuu. Nitonye huko uliko nihamie
 
Kwani si kuna simu extra mkuu, unaweza kuwa na Primary phone(Smartphone) na Secondary Phone (Kitochi). Kila simu inabeba line 2. Mitandao iko Mitano So problem solved.
Nina Simu tatu but mitandao yote inaonekana like born of the same mother
 
Nalipa buku napata gb 1. Leo nomepata mb 500. Kuhama lazima
 
Si bora wangepunguza kidogokifogo
 
500mb mimi hazinitoshi hata kwa siku. Shughuli nyingi nafanyia mtandaoni. Wacha nijaribu ttcl
Nasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…