Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 740
Ila umeicheki hiyo mashine mpya ya Microsoft? Nilikuwa nasoma specs zake.. Kiukweli, apple wajipange.
Dola 2600? Hapo ni unachukua deskitop ya apple I.e iMac retina display... Ha-ha.. By the way, mi naona Microsoft Ana deserve kuuza ghali hivyo. . coz laptop yenyewe mi ya ukweli... Ila kwa cc wabongo wengi wetu tusubiri matoleo ya mchina... Surface book, ni zaidi ya expectation zangu Chief_Mkwawa
yap idea ni nzuri sana hope kina asus na acer wataanza kueka gpu kwenye keyboard zao na battery ya ziada sababu processor za tablet kama core m tayari zina nguvu kubwa ni gpu tu ndio bado hazijachanganya.
kuhusu michina vifaa vya microsoft vinatengenezwa na standard maalumu hata kama kikitoka china quality inakuwa nzuri kiasi.
Nimezungumzia tusubiri mchina kwa ajili ya kumudu gharama. Si unajua tena mchina anatoa huduma kutokana na hela yako?
Microsoft siku hizi anawajulia kweli fans WA apple. Ili uwakamate vizuri uza bidhaa zako bei ghali kuliko apple automatic wanazinunua. (sarcasm)
Wengi wanaamini kitu kikiuzwa bei ghali kinakuwa bora kuliko vingine.
Japo baadhi ya wenye uelewa siku hizi wanachagua ecosystem.
Haha ni mazoea tu, and that's obvious u talkin bout some people that 're a somewhat.. dumb! Sorry, usinielewe vibaya. Ila ukweli ni kuwa "specs really matter" mfano iyo Microsoft Surface Book, u 've to pay more than $2,200.. but for that u get Intel i7 processor, NVIDIA GeForce Graphics card, 16gigs RAM and of coz 256gigs of SSD.. Worth it!
Vitu vya kugunduliwa vilishaisha...
Haha ni mazoea tu, and that's obvious u talkin bout some people that 're a somewhat.. dumb! Sorry, usinielewe vibaya. Ila ukweli ni kuwa "specs really matter" mfano iyo Microsoft Surface Book, u 've to pay more than $2,200.. but for that u get Intel i7 processor, NVIDIA GeForce Graphics card, 16gigs RAM and of coz 256gigs of SSD.. Worth it!
Laptop yenye specs hizo haifiki hata dola 1000, wanauza form factor tu hapo.
Pia ukumbuke inatumia processor za U series ambazo Ni dual core. Even hio i7 Ni dual core,
Mi naona ukitoa hio keyboard ya nvidia, surface pro Ni nzuri zaidi unapata same processor na battery life nzuri zaidi
U do have some point, I agree.. ila dah, I don't recall a PC with all em specs afu ikauzwa less than $1000.. if u could remind me itakuwa poa