duh trust me mnaibiwa wachina hawana bei hizo
n3 na p3 sawa ila n7, phantom na hii tablet bei ni kubwa sana
n7 inauzwa laki 3 wakati huawei ascend y300 ni 195,000 na zote zina specs sawa.
phantom ile ya inch 5 ni 450,000 hadi 550,000 wakati kuna clone ya s4 unapata hadi 270,000 yenye specs kubwa zaidi.
hii tablet nayo 550,000 wakati galaxy tab ni sawa na hio au unapata bei rahisi zaidi ya hio. ipad mkononi unapata bei hio