Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,678
- 9,102
Mwambie sitaki meseji za kula kula simpleHello ndugu zanguni
Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula [emoji848][emoji848] ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma
Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini[emoji2][emoji2] unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini[emoji2][emoji2][emoji2].
Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..
Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao [emoji23]yao
Hehh...Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala
Sema unataka kula nini nikupikie my[emoji23]Sweetheart
Mbona sijaona muamala?[emoji16]
Tule kwanza,tupate nguvu za kusaka muamala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muamala...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kusema kweli mim upuuzi wa kuchat chat sipendi.Hello ndugu zanguni
Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula [emoji848][emoji848] ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma
Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini[emoji2][emoji2] unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini[emoji2][emoji2][emoji2].
Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..
Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao [emoji23]yao
Mkiendeza pesa mtapigwa miti mpaka mnyooke na heart broken za kutosha pisi zinaonaga utelezi ni kitu precious sanaHello ndugu zanguni