Hii tabia mnaichukuliaje?

mbona mnamsema vibaya mtoto wawatu?

Adela achana nao hawa nipenamba yako nione tunafanyaje mtoto mzuri
 
hakuna kitu kinaitwa jinsia ya ke au me

kuna jinsi F/M
 
Pole sana aisee,, me sioni kama kuna shida mtu ukishashiba ukiulizwa umekula si unajibu nimekula,,, na kama hujala si umwambie tu sijala au sina hela ya kula[emoji2][emoji2][emoji2] ili akupe, me naona ndo ulichokimaanisha hapa[emoji55][emoji55]
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Kataa ndoa mambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…