Hii tabia mnaichukuliaje?

totoadela

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
359
1,084
Hello ndugu zanguni

Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula
ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma

Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini
unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini
.

Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..

Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao
yao
 
Polee kwa changamoto ya kuulizwa umekula nn.
Inaonekana jamaa anakutesa sana kisaikolojia anavokuuliza umekula nn.
Bac akipiga tena akikuuliza umekula nn nenda ustawi wa jamii pale kamshtaki, anakuonea bure mdada wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…