mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
mkuu umenikumbusha mbali sana!
tukiwa wadogo na njaa ya shule basi unapakuwa kumkomoa mwingine!
basi mamangu akikwambia punguza ukagoma! anakuuliza mara tatu utamaliza ukimwambia ndiyo mara zote na akakubembeleza upunguze
ukakataa! ndugu hicho chakula utamaliza hata ikibid kwa viboko!
akikuona umeshiba na hujamaliza anakuita ukae karibu yake!
basi tulikuwa tunamaliza huku tunalia! coz umeshiba ila ndo lazima umalize
Hahaha mkuu tumekulia nyumba moja nin yaan kichapo utakachochezea utajutaaa
Kwanini mkuu?
kwani we unapenda upakue mwenyewe or unapenda upakuliwe?
Mi nimwanaume, lazima nipakue, mwanaume huwa hapakuliwi hata sikumoja!
mwingine anapakua kidogo tu nacho anabakiza yan ye ashajiwekea kubakiza hata iweje! najiuliza nakosa jhbu
Hata kama umepakuliwa omba ambunguze kabla haujaanza kula yaan mi naonaga uchungu kumwaga chakula alichoacha mtu wakati wengine . hata mlo mmoja na hawajui watapata wapi msosi
Always napenda kupakua.
Always napenda kupakua.