Mmmh! wote tupakuliwe nouma.
Mi nahisi wakupakua apakue apendavyo ila asiache kumzingatia mpakuliwaji! Uroho si mzuri eti. lol!
Watu wengine wakiona chakula utadhani roho inataka kuwatoka. Ubavu wa kula hawana halafu anataka kuweka mlima na wakati anajipakulia si ajabu udenda ulikuwa unamchuruzika kwa uroho wake. Watu kama hawa wanakera sana. Pakua kiasi chako ukitaka kuongeza rudi mara ya pili hata ya tatu, kumwaga chakula ni dhambi.
mwingine anapakua kidogo tu nacho anabakiza yan ye ashajiwekea kubakiza hata iweje! najiuliza nakosa jhbu
Yeah! wako wa hivyo pia sijui wana matatizo yepi? Kujionyesha kwamba hawana njaa sana au sijui ndio nini?
mwingine anapakua kidogo tu nacho anabakiza yan ye ashajiwekea kubakiza hata iweje! najiuliza nakosa jhbu
Hahahaha!!!! Kama ni ndugu yangu au rafiki yangu nakupa live bila chenga,kama hatujuani kabisa natoa vyombo vizur halafu naanzisha story kisha ujumbe nakupa mwishoni huku unacheka ukinuna basi, yaani mimi moyoni mwangu sina nafasi ya kuweka mambo natoa langu kisha amani amani, Mr mwenyewe anajua mtiti wangu nimpakulie nimuulize size yake aniambie halafu aache chakula aiseee ataipata fresh mbona atamalizia tu!! Akitaka aniweze aniambie kibaya au vitu kama chumvi, mafuta vimezidi, na kama ndo nimepika mwenyewe we sitamuelewa atanieleza kaanza lini kuniona napika vibaya,lol!!!Ni kweli aisee lakini mie ubavu wa kumpakia mgeni sina ila sitapenda kabisa afanye hivyo kisha chakula kimshinde na kuishia kumwaga. Natamani ningekuwa kama wewe nampakia hata mgeni lol! hahahahaha "Sasa ndio nini kupakua chakula kingi unagusagusa halafu unadai umeshiba." Haji tena nyumbani kwangu lol!
Hahahaha!!!! Kama ni ndugu yangu au rafiki yangu nakupa live bila chenga,kama hatujuani kabisa natoa vyombo vizur halafu naanzisha story kisha ujumbe nakupa mwishoni huku unacheka ukinuna basi, yaani mimi moyoni mwangu sina nafasi ya kuweka mambo natoa langu kisha amani amani, Mr mwenyewe anajua mtiti wangu nimpakulie nimuulize size yake aniambie halafu aache chakula aiseee ataipata fresh mbona atamalizia tu!! Akitaka aniweze aniambie kibaya au vitu kama chumvi, mafuta vimezidi, na kama ndo nimepika mwenyewe we sitamuelewa atanieleza kaanza lini kuniona napika vibaya,lol!!!
Ha ha ha waogopa kupakuliwa,unaogopa hutashiba?,muoga kweli!,Kama Mimi ndo mpakuaji loo ningekujazia sahani Tele ujilie mkuu.Mmmh! wote tupakuliwe nouma.
Mi nahisi wakupakua apakue apendavyo ila asiache kumzingatia mpakuliwaji! Uroho si mzuri eti. lol!
Hahahaha!!!! Kama ni ndugu yangu au rafiki yangu nakupa live bila chenga,kama hatujuani kabisa natoa vyombo vizur halafu naanzisha story kisha ujumbe nakupa mwishoni huku unacheka ukinuna basi, yaani mimi moyoni mwangu sina nafasi ya kuweka mambo natoa langu kisha amani amani, Mr mwenyewe anajua mtiti wangu nimpakulie nimuulize size yake aniambie halafu aache chakula aiseee ataipata fresh mbona atamalizia tu!! Akitaka aniweze aniambie kibaya au vitu kama chumvi, mafuta vimezidi, na kama ndo nimepika mwenyewe we sitamuelewa atanieleza kaanza lini kuniona napika vibaya,lol!!!
Dada mmoja nikamwambia aagize chakula...akaagiza chips kuku...na fanta....chakula akaonja tu...soda akapiga kama vifuniko 20...eti ameshiba....
Huyo mdada mshamba.Katika vitu ambavyo sipatagi kupepesa macho ni chakula na hata niwe na nani sionagi aibu.Kuna wengine mishauo kibao wakati hata kwao kuvipata shida ila wakitolewa out mhhhh ni kero tupu

Kuja tabia ambayo watu wengi wana kuwa nayo ya kujaza chakula kingi alafu anakula kidogo anaacha kiasi kwamba wengine wanakosa. Alafu sasa bora ata ale kwa usaarabu angalau lakn mmnh anavyokula kama mtoto yanii yan kama ni wali atajaza sahan nzima alafu anauchanguachangua kisha anasema kashiba kwa kweli nachukiaga sanaa hiyo tabia
Nilikasirika sana...mbaya yeye ndo aliniambia anasikia njaa....niliomba wahudumu wakanifungia nikabeba
Kumbe mkuu na wewe umeliona hilo daah bora hata
mkuu umenikumbusha mbali sana!
tukiwa wadogo na njaa ya shule basi unapakuwa kumkomoa mwingine!
basi mamangu akikwambia punguza ukagoma! anakuuliza mara tatu utamaliza ukimwambia ndiyo mara zote na akakubembeleza upunguze
ukakataa! ndugu hicho chakula utamaliza hata ikibid kwa viboko!
akikuona umeshiba na hujamaliza anakuita ukae karibu yake!
basi tulikuwa tunamaliza huku tunalia! coz umeshiba ila ndo lazima umalize