Hii tabia imeanzia wapi?

Kwanini wanaume hua hatuwezi kuchagua kapeti jingine zaidi ya checkered carpet?

Tena rangi ni uniform kwa wote, nyeusi na nyeupe.
 
Kwa upande wangu mimi nililiona kama lipo classic. .. maua maua wanayaweza hawa wenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv nyunba yenye vigae unaweza kuweka carpet? Samahani kwa kuuliza.
Kwanini wanaume hua hatuwezi kuchagua kapeti jingine zaidi ya checkered carpet?

Tena rangi ni uniform kwa wote, nyeusi na nyeupe.
 
Hiv nyunba yenye vigae unaweza kuweka carpet? Samahani kwa kuuliza.
Ndiyo.

La manyoya. Mostly linakua sebuleni, juu yake utakuta coffee table yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…