GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,912
- Thread starter
-
- #21
Huyo dada kicheche balaaa hapo anakupima kinafki ili usjue anafanya akiwa huko semina. Na ndio maaana anapewa seminar mara kwa mara......ukiona mkeo Anapewa sana semina ushtuke kijana
hadith hadith
Na Ajira Yangu Nayo Niwe Nasafiri Nayo Mfukoni?
Hivi kumbe Dna inaona virus walioingia kwenye damu kwa wiki tu tangu waingie??? btw story yako nzuri sijui inatufundisha nn?
ajira kitu gani mbele ya mke wewe...
Kwahiyo Kwako Wewe Mke Ana Umuhimu Mkubwa Kushinda Kazi au Ajira Yako Hiyo Uliyonayo? Nikiacha Kazi Nitaishije Mkuu? au Unaniombea Mabaya Tu!
abiria chunga mzigo wako wewe...huoni mama kikwete aliacha kazi ya ualimu ili aambatane na mmewe!
Mkuu Unaniliza Sasa Na Haswa Ukizingatia Nina Wivu Ndiyo Najisikia Vibaya Sana.
na yeye anakubali kupima au anakupima mwenyewe tu? Ukiona mtu akimshuku saaana mwenzake kuwa ni mwizi ujue na yeye ana element za wizi.