Hii Taaluma kwa Awamu hii imekuwa very risk kujihusisha nayo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,489
Nikiwa mmoja kati ya watu walioguswa(in a negative way) na maamuzi ya mkuu Stone yaliyonipelekea kutokuwa sawa economically na pyschlogically napenda kuwaatarifu na pia kutoa tahadhari kwa wale wote wanaojihusisha na hii taaluma na si nyingine bali ni Uhasibu sitaki kusema mengi ila tukiachana na wale wanaoshikiliwa kwa sababu za kisiasa wahanga wanaofutaia ni waHasibu nimeona wengi wakiwepo ndugu na marafiki wakipewa kesi za uhujumu uchumi na kuna baadhi hii Christmas wameisherekea rumande na pia trend inavyoonyesha mwaka mpya wanaupokelea hukohuko.

Narudia tena Wahasibu kuweni makini na taaluma yenu.
 
Na tayari mmeshamwandalia miaka mingine 5 ya kupita bila kupingwa.
 
Kama umeiba, sheria lazima ifuate mkondo wake.
Lawama hazipaswi kuelekezwa kokote isipokuwa kwako mwizi.
Na kama haukufanya wizi, sheria itakuweka huru.
 
kuwe na sheria mpya za kumlinda muhasibu lasivyo wahasibu wengi watarundikana jela,

ofisi ya manunuzi (procurement) imefanya maamuzi kununua peni moja ile ya Obama kwa elf kumi ili wapige pesa, muhasibu anatia saini kuruhusu hizo fedha cha ajabu muhasibu ndio unaonekana mwizi, naomba serikali nayo iwe inawatia hatiani hawa watu wa procurement
 
Kuna ukweli kabisa wahasibu wanaponzwa na wenye mamlaka na mwisho wa siku mhasibu anakuwa mtuhumiwa pekee yake.
 
Balaa jingine linazinyemelea hizi auditing firms, haya mambo ya kutengeneza financial statements tofauti kwa mteja mmoja ni hatari sana. Utakuta mteja mmoja ana hesabu zilizoenda kuomba tenda, ana hesabu zilizoenda kuomba mkopo, na ana hesabu zilizoenda tra halafu zote zina figures tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom