Hii style inaitwaje?

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
hata kusoma
 

Attachments

  • 1439753602412.jpg
    30 KB · Views: 1,493
Hahahaaaa, hii inanikumbusha mbali sana, konko room, SUA! Watu walikuwa wanapiga book konko hadi balaa!
 
check jamaa wanavyomuangalia
 
nilisoma na jamaa WA hivyo.yeye ulikua Ni kukalili kila neno alitupa shida sana maana ukijilinganisha nae unajiona husomi

mpaka unamuogopa. kuna watu wajua kukariri sana
 
si tulikuwa tunsiita "msuli tembo matokeo sisimizi"...
halafu kwa harakaharaka hapo nikama naona biological science(bs) tatu biology advance hiyooo
 
anatafuta PRERAJULISATION na FARHANITRATE..if u kno wat i mean
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…