Uko sahihi. Hata mimi kwa sasa sina muda wa kufahamu eti Yanga inacheza lini, na nani! Kwenye uwanja gani, nk. Badala yake nipo nasubiria tu kwa hamu siku ya Uhuru wa Tanganyika ifike (tarehe 9 Disemba).Kwenye hii mada sina cha kuchangia kwa kweli, bali nimepita tu hapa kukutia moyo angalau na wewe ujione umepata mtu wa ku_comment, maana nimeona yanakalibia kutimia masaa matatu umekaa nayo pekee yako hii mada, sasa nikusanue huu ukimya unaouona hapa, watu wapo kwenye jukwaa la siasa uko na jukwaa la habari wanapanga mipango ya kuikomboa nchi yao.