Hii kaulimbiu imekaa kipigaji sana.
Haitatufikisha popote kama Taifa.
Zaidi zaidi, tutarajie wachache walioko madarakani kutajirika wao pamoja na washirika wao ilhali wengi wa raia wakiishia kwenye umaskini uliotopea.
Kazi ya kuendeleza Taifa, si lelemama.
Kile anachokifanya Rais Capt. Ibrahim Traoré wa Burkina Fasso, ndo kinachopaswa kuigwa na kila Taifa la Kiafrika linalotaka kuwakomboa raia wake toka kwenye umaskini.
Vita dhidi ya umaskini haijawahi kuwa nyepesi!