Hii siyo shule ya kata

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
Hot desking: Teachers at the school, in Jinzhou city in Hubei province, were worried their pupils might overheat during their end-of-term tests so they moved all tables and chairs outside


 
Mtihani wa Taifa? au bara la asia?
 
Hapa ni mwendo wa kuchora zombi za mesi baasi
 
Mkuu aaa hii nimeipenda sana tena sana na mwenye macho hambiwi tazama na laite na sisi tungiega hivi basi tungekuwa mbali sana na maendeleo makubwa tungeyapata na viongozi safi na pasingekuwa na kizim kuti au mezengwe ya usultani wa kisiasa wa kibongo na hata kile kibatari tungekuwa tusha kizika lakini kasumba hii ndio bado tunakiabudu usiku na mchana na mangoma kucheza na wanafunzi na mwisho ni kiiza na hasara
 
Daaaah hii imenikumbusha mbali sana Mwl mkuu wetu ss ni mareheme Senkoro akamwachia kijiti mzee Lema hapo Moshi mjini Korongoni school ilikuwa ni shidaaaaah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…