Hii sio haki

Kazaa = Kadhaa.
 
hahahaaa.
 
Hv lengo la jf n watu kutongozana ama
 
Watakua wale wa magroup ya malaya huko insta, ilishanikutaga hii, Niligoma kutuma elf tano akachukua picha yangu akaipiga bonge la bandiko "MALAYA WA INSTA'' kaniambia nisipotuma hiyo 5k anaipost huko insta, Mbona niliomba pooo!
hahaaa malaya wa what'sup wale ni vikundi vya wanaume na wanawake wanatafuta riziki kwa utapeli.
 
Nilimtumia 4800
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…