Hakuna simu hapoWakuu hii simu anaeifahamu vizuri anifahamishe maana inaukubwa wa nchi 6 na swali langu inauzwa bei gani kwa sasa ktk maduka yao? Je Tecno sasa wamekuja na ubora mpya wa hii Camon X? Karibuni.
Sure? Kama bei yake ndio hiyo unaibiwa kweli Simu yenye performance ndogo kama hiyo unauziwa hela yote hiyo. Ni bora kama unaweza kuagiza online uchukue good quality smartphone Xiaomi Redmi 5 plus na change inabaki480000
Tatizo xiaomi zina camera mbya sanaSure? Kama bei yake ndio hiyo unaibiwa kweli Simu yenye performance ndogo kama hiyo unauziwa hela yote hiyo. Ni bora kama unaweza kuagiza online uchukue good quality smartphone Xiaomi Redmi 5 plus na change inabaki
View attachment 745291
Kwahiyo unataka unambie Tecno anamfunika Xiaomi kwenye camera ni Xiaomi gani uliowai kuitumia ikawa na camera mbaya?Tatizo xiaomi zina camera mbya sana
Yeah ni kweli mkuu, si za mchezo.Sijawai tumia hizi simu ila nimeona YouTube ni the best kwa kila kitu
Mkuu Tecno C series zina camera nzuri sana ambazo zinafunika hizo simu za wachina zote..Kwahiyo unataka unambie Tecno anamfunika Xiaomi kwenye camera ni Xiaomi gani uliowai kuitumia ikawa na camera mbaya?
Siipend Tecno ila hii C series na hii X usiulize na hii simu ya X ina viwango. Achilia mbali outer material ila ndani Chip ni quality. Labda mtata Chief-Mkwawa aje atusaidieKwahiyo unataka unambie Tecno anamfunika Xiaomi kwenye camera ni Xiaomi gani uliowai kuitumia ikawa na camera mbaya?
1. camon ziliopita c9 na cx si ina full HD? hii wamedowngrade kioo ni HD ya kawaida.Siipend Tecno ila hii C series na hii X usiulize na hii simu ya X ina viwango. Achilia mbali outer material ila ndani Chip ni quality. Labda mtata Chief-Mkwawa aje atusaidie
Nadhani ipo tayari reviwed ile X pro ina full HD1. camon ziliopita c9 na cx si ina full HD? hii wamedowngrade kioo ni HD ya kawaida.
Tecno Camon C9 Specifications, Features And Price
mpaka hapo tayari inaonyesha how serious they are
2. soc sijaona specs zake ila nahisi ni helio p23 sio soc mbaya
3. hizo camera specification sijaziona ila sitashangaa wakitumia tena sensor za mwaka 2014 na kudanganya wateja wao wana camera nzuri.
kifupi hio simu specs zake bado ni tabu kuzipata na jamaa hawana tabia ya kuzitoa, mpaka mtu aitie mkononi na kuanza kuchimba kuona.
Nadhani ipo tayari reviwed ile X pro ina full HD
Angalia hapa alafu tusaidie ku review
TECNO Camon X Pro Specifications
Price Kes. 25,000
Display
Type IPS LCD
Size 6" (18:9)
Resolution 1080*2160
Protection -
Platform
Operating System Android 8.1 Oreo
Chipset MediaTek Helio P23
CPU Octa-core 2.0GHz
GPU Mali-T720
Memory
RAM 4GB
Internal 64GB
External microSD, up to 128GB
Network
Technology 4G LTE
SIM Dual SIM
Camera
Main 16 MP, Ring flash
Front 24 MP, dual-flash
Battery
Size 3750mAh
Type Li-Po
Colors Midnight Black
Features Fingerprint (rear-mounted), Face ID
Ni kweli mkuu sijawai ona review ya simu kwa wanaijeria wakikosoa kitu wao wanasifiaga tu kwa kwenda mbele, likija toleo jipya utasikia this is great than the previous version basi wataishia kusema tu its beautful, nice finishing material hata kama ni plastic cheap looking material. Unachosema ni truemkuu mediatek helio p23 gpu yake sio mali T720 bali ni mali G71 mp3 unaweza angalia hapa
https://www.mediatek.com/products/smartphones/mediatek-helio-p23
mpaka hapo credibility ya hio source yako imeondoka.
blog zetu nyingi za ki Africa ni waongo kupita kiasi hawana weledi wa kazi zao wanawaza tu kupiga hela basi.
ukija kwenye camera unaambiwa tu megapixel 24 basi hakuna information yoyote ya sensor iliotumika, aperture, resolution, fps, ukubwa wa pixel na mambo kibao ya muhimu kwenye camera.
mwisho kabisa hio bei ksh 25,000 hio inakuja kuuzwa laki 6 huku kwetu kama sio zaidi. nikisema humu Tecno hauzi simu za bei rahisi watu hawaelewi, hio bei imeipita hadi samsung galaxy j7 pro ambayo inapatikana around 500,000 mpaka 550,000, ambayo inatumia equivalent soc sawa na hio tecno. huyo ni Samsung kuna simu hizi
-xiaomi redmi note 4, redmi 5 na 5 pro, note 5, mi A1 etc zote ni bei rahisi sana zikiwa na specs zaidi.
-Huawei Honor 6 na 7 series zote ni kali na bei rahisi zaidi
Ni kweli unayosema hiyo simu inauzwa 550kmkuu mediatek helio p23 gpu yake sio mali T720 bali ni mali G71 mp2 unaweza angalia hapa
https://www.mediatek.com/products/smartphones/mediatek-helio-p23
mpaka hapo credibility ya hio source yako imeondoka.
blog zetu nyingi za ki Africa ni waongo kupita kiasi hawana weledi wa kazi zao wanawaza tu kupiga hela basi.
ukija kwenye camera unaambiwa tu megapixel 24 basi hakuna information yoyote ya sensor iliotumika, aperture, resolution, fps, ukubwa wa pixel na mambo kibao ya muhimu kwenye camera.
mwisho kabisa hio bei ksh 25,000 hio inakuja kuuzwa laki 6 huku kwetu kama sio zaidi. nikisema humu Tecno hauzi simu za bei rahisi watu hawaelewi, hio bei imeipita hadi samsung galaxy j7 pro ambayo inapatikana around 500,000 mpaka 550,000, ambayo inatumia equivalent soc sawa na hio tecno. huyo ni Samsung kuna simu hizi
-xiaomi redmi note 4, redmi 5 na 5 pro, note 5, mi A1 etc zote ni bei rahisi sana zikiwa na specs zaidi.
-Huawei Honor 6 na 7 series zote ni kali na bei rahisi zaidi
camon x au x pro? maana inaonekana zipo mbiliNi kweli unayosema hiyo simu inauzwa 550k
X Procamon x au x pro? maana inaonekana zipo mbili