Nilichoshuhudia leo parade ya Simba Sports nimejiuliza sana kwanini hamasa ya mashabiki wa Simba ni kubwa mno by far! Lakini nikamkumbuka yule mtu aliyeijenga hii na haya ni matunda yake! Haji Manara!
Hizi timu zina hamasa lakini Manara alipanda mbegu ya mashabiki vichaa wa Simba na zaidi kipindi kile wengi walikuwa watoto wadogo ambao sasa ndio mashabiki wenyewe.
Ahmedy Ally amefanya kazi nzuri sana lakini kwenye hili la Simba na hamasa ya mashabiki wao ni mbegu ya Haji Manara na Ahmed Ally kakuta kizazi kilichotengenezwa na Manara.
WakatinSimba inaitoa Zamalek haji Manara wala haikuwa anajulikana kama mpenzi wa mpira, mapokezi yake yalipeleka baadhi ya wanasimba kufariki.
Hizi timu asili yao ji pwani na wote tunajua linapokuja swala la hamasa watu wa pwani wakoje.