Hii sijaelewa maana yake nini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii sijaelewa maana yake nini!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ligogoma, Mar 28, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,137
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Habari wa JF!
  Nimenunua bundle vodacom then kabla sijaitumia inaniambia kitu kama hiki;`Your Ad-hoc Data Bundle Service Type has been migrated to MyMeg 50 Bolt-on Prepaid Data Bundle.`
  Na hapo hapo nikiuliza salio inaniambia kwa sasa huna kifurushi chochote, hii sijaielewa ndugu zangu kitechnolojia inamaanisha nini, naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeelewa hapa.

  Thanx sana
   
Loading...