Hii si mchezo!!!

Hii si mchezo!!!

Babu Lao

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
2,042
Reaction score
180
MADAKTARI, WAGONJWA; MAKUTANO NI LOLIONDO KWA BABU

"Niliondoka na wenzangu baada ya kujipanga kwenda kupata tiba baada ya kuhangaikia kwa muda mrefu Muhimbili. Kufika huko mimi na wenzangu tulikutana na dokta wetu ambaye baada ya kusalimiana naye tu alituambia mpeni Mungu yaliyo yake Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari," alisema.

Angalizo: Sasa kama mpaka madaktari wanatelekeza hospitali kwenda kwa babu, inabidi tumchukue babu aje kutibu muhimbili!!!
 

Attachments

  • Kwa Babu!!.jpg
    Kwa Babu!!.jpg
    23.3 KB · Views: 56
Mpango mzima! Si unajua kuwa mganga hajigangi?
 
Madkari wetu wanayajua na wanayazingatia haya: kuwa diagnisis zetu ni unreliable, wataalam wetu wa maabara ni uncommited, dawa zetu nyingi zimechakachuliwa.

MADAKTARI, WAGONJWA; MAKUTANO NI LOLIONDO KWA BABU

“Niliondoka na wenzangu baada ya kujipanga kwenda kupata tiba baada ya kuhangaikia kwa muda mrefu Muhimbili. Kufika huko mimi na wenzangu tulikutana na dokta wetu ambaye baada ya kusalimiana naye tu alituambia mpeni Mungu yaliyo yake Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari,” alisema.

Angalizo: Sasa kama mpaka madaktari wanatelekeza hospitali kwenda kwa babu, inabidi tumchukue babu aje kutibu muhimbili!!!
 
Back
Top Bottom