Ndugu yangu ukiona manyoya ujue kanga kaliwa sasa subiri tu mpaka uachike gift ya chupi? tafakari chukua ..................Nina rafiki yangu ambaye tumeshibana sana. Lakini anapenda sana kumletea zawadi kwa siri mchumba wangu na baada ya hapo mchumba wangu ananishirikisha, na ananihakikishia kwamba hajawahi ombwa papuchi na hata akiomba hatamkubalia.
Pia mchumba wangu ananisihi sana nisije kumuuliza rafiki yangu juu ya hizo zawadi ili yeye asiwe chanzo cha kutugombanisha.
BAADHI YA ZAWADI ALIZOWAHI KUMLETE.
Viatu, cheni, wallet, vocha za mara kwa mara, nguo za nje na ndani, na simu aina ya huawei y330.
Sasa najiuliza kuna usalama kweli hapo? Kwanini rafiki yangu ampe mchumba wangu zawadi tena kwa siri?
Na kwanini mchumba wangu ananishirikisha?
Nipo mwingi tu sema majukumu yananitinga twin wangu....
Nguo za ndani?Na wewe unaamini ni marafiki?Angalia wasije wakawa wanakuchezea mchezo
Hivi wewe ndiyo unakataa mimi kukuita hivyo ama?
huyo bwana mdogo kiwatengu hazipendi kucha zake eeh!
Hajpend..naomba mu ulmboka huyo... na ikiwezekana mu ufosaro. We kiwatengu take care, dare u to get closer
Hivi wewe ndiyo unakataa mimi kukuita hivyo ama?
Mimi? Kwani umetoka wapi na huyu mdada?
Sidhani kama utaweza na mimi nitaweza
Utaweza nn?? Na mm ntashindwa nn??
Nilimaanisha, yaani mimi kuachana na wewe sidhani kama ntaweza π
lol....Nilimaanisha, yaani mimi kuachana na wewe sidhani kama ntaweza π
lol....
cha mtu.........huchezi mbali