Hii sasa tabu

hahah...bongo bhana ishakua shida.
watu wanaacha kuchapakazi ili kujenga taifa wao wako busy na mugabeing.....hahah!
 
Tutazidi kuwa watumwa wa akili.kila siku..... huu ni mkumbo wa tunaoufuata toka kwa wazungu wanaompinga Mugabe
 
Kila mtu ana mtania Mugabe kama babu na mjukuu wake wanavyotaniana
 
Mugabe is becoming a joke and a disgrace to Africa.
Yaani katika Zimbabwe yote, anajiona yeye tu ndio anafaa kuwa raisi?
Bora hata angeteguka kiuno alipo anguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…