Hii sasa nomaaa

Hii sasa nomaaa

Mkuu, wewe hatari!!!! Asante kwa kunichekesha!!!!!
ila wote mikono inaenda kunywani hakuna anayelala njaa. ila kumbukeni uchagani umaskini bado ni mkubwa, pitia pale njia panda ya Himo utaona wanavyokimbilia mabasi kuuza mbogamboga namtu unashindwa kujua rangi yake alivyopauka. Tuache dharau tuheshimiane.
 
ila wote mikono inaenda kunywani hakuna anayelala njaa. ila kumbukeni uchagani umaskini bado ni mkubwa, pitia pale njia panda ya Himo utaona wanavyokimbilia mabasi kuuza mbogamboga namtu unashindwa kujua rangi yake alivyopauka. Tuache dharau tuheshimiane.

Mkuu, ni kweli dharau kamwe haikubaliki na heshima lazima iwe mbele kwa wote!!!!! Ila hapa mleta maada ametumia uhodari na ucheshi kueleza jinsi makabila hapa nchini yalivyojipanga kimaisha!!!! Hakuna dharau hapa!!!!
 
Phonebook ya Mchaga1.Massawe Muuza pumba2.lyimo wa vifaranga3.Shirima dk mifugo4.Tairo duka la jumla5.kimario wa Bia za magendo6.Mushi mchoma nyama7.Uiso wa pikapu ya ndizi8.Ngowi wa chakula cha Nguruwe9.Mramba kitimoto10.Massawe bucha la jirani

Sasa tunaingia kwa Wazaramo
1.Mwajuma msasambuaji2Maimuna Msutaji3.Amina Muuza Shanga4.Mariam wa Kichen part5.Hadija mchora Hina6.Dullah Dj vigodoro7.Issa Ndambi Mpishi wa hitma8.Rama Mganga wa Mapenzi9.Sudi mpiga ngoma mbagala10.Rashidi mtabiri nyota

MsangSasa wahaya

1. Prof Rweyemamu wa BOT2. Mr Rugashumba msaidizi wa raisi sera na mipango3. Padre Katabaro wa parokia ya Kamachumu4. Mr. Rwelengera afisa biashara ATC5. Kaijage mwalimu MUHIMBILI6. Mr. Rwechungura wa WORLD BANK7. Birungi mkaguzi wa mahesabu PWC8. Mama Ndyetabura wa UNDP9. Shubi mkurugenzi TAKUKURU10. Kisiraga muhasibu mkuu TRL
Nataka ya wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom