Hii sasa nomaaa

Hii sasa nomaaa

Neutral catalyst

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
261
Reaction score
147
Phonebook ya Mchaga1.Massawe Muuza pumba2.lyimo wa vifaranga3.Shirima dk mifugo4.Tairo duka la jumla5.kimario wa Bia za magendo6.Mushi mchoma nyama7.Uiso wa pikapu ya ndizi8.Ngowi wa chakula cha Nguruwe9.Mramba kitimoto10.Massawe bucha la jirani

Sasa tunaingia kwa Wazaramo
1.Mwajuma msasambuaji2Maimuna Msutaji3.Amina Muuza Shanga4.Mariam wa Kichen part5.Hadija mchora Hina6.Dullah Dj vigodoro7.Issa Ndambi Mpishi wa hitma8.Rama Mganga wa Mapenzi9.Sudi mpiga ngoma mbagala10.Rashidi mtabiri nyota

MsangSasa wahaya

1. Prof Rweyemamu wa BOT2. Mr Rugashumba msaidizi wa raisi sera na mipango3. Padre Katabaro wa parokia ya Kamachumu4. Mr. Rwelengera afisa biashara ATC5. Kaijage mwalimu MUHIMBILI6. Mr. Rwechungura wa WORLD BANK7. Birungi mkaguzi wa mahesabu PWC8. Mama Ndyetabura wa UNDP9. Shubi mkurugenzi TAKUKURU10. Kisiraga muhasibu mkuu TRL
 
Aisee ni balaaaa yan hapo inamanisha inequality hasa ktk vipato ni inevitble!. Hasa kwny phnebook ya muhaya na mzaramo.
 
Aisee.., hii kitu ni kweli.., tena umeipresent very comprehensively..., hongera na big up!!
 
Wow! big up, nimeipenda...... imekaa poa sana hiyo
 
Umemsahau Manka Kimambo - Kitochi mlimani na Mzee Mosha gengeni
 
Professor Rwikaza Mukandara.Makam mkuu wa chuo kikuu Dar es Salaam.
 
haha lakini bado kagera ni maskini kuliko kilimanjaro....
 
chunga wenyewe wasikujue watakufinya usiku hao wazaramo.
 
Phonebook ya Mchaga1.Massawe Muuza pumba2.lyimo wa vifaranga3.Shirima dk mifugo4.Tairo duka la jumla5.kimario wa Bia za magendo6.Mushi mchoma nyama7.Uiso wa pikapu ya ndizi8.Ngowi wa chakula cha Nguruwe9.Mramba kitimoto10.Massawe bucha la jirani

Sasa tunaingia kwa Wazaramo
1.Mwajuma msasambuaji2Maimuna Msutaji3.Amina Muuza Shanga4.Mariam wa Kichen part5.Hadija mchora Hina6.Dullah Dj vigodoro7.Issa Ndambi Mpishi wa hitma8.Rama Mganga wa Mapenzi9.Sudi mpiga ngoma mbagala10.Rashidi mtabiri nyota

MsangSasa wahaya

1. Prof Rweyemamu wa BOT2. Mr Rugashumba msaidizi wa raisi sera na mipango3. Padre Katabaro wa parokia ya Kamachumu4. Mr. Rwelengera afisa biashara ATC5. Kaijage mwalimu MUHIMBILI6. Mr. Rwechungura wa WORLD BANK7. Birungi mkaguzi wa mahesabu PWC8. Mama Ndyetabura wa UNDP9. Shubi mkurugenzi TAKUKURU10. Kisiraga muhasibu mkuu TRL

Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom