Hii sasa ni zaidi ya ukame, Jamani kutoswa kubaya!

Jamani wakina dada wa umu jamvini, nisaidieni kwa hili pls,experiences zenu ni mhm kwangu, naitajikujua, naitaji kujenga mapenz yakudumu baadae bt kwa sasa gundi zimenikaba NIPO NJIA PANDA, NAOMBENI MAWAZO!
 
Jamani wakina dada wa umu jamvini, nisaidieni kwa hili pls,experiences zenu ni mhm kwangu, naitajikujua, naitaji kujenga mapenz yakudumu baadae bt kwa sasa gundi zimenikaba NIPO NJIA PANDA, NAOMBENI MAWAZO!
Sasa unataka tukusaidie vipi wakati tayari unajua unachokitaka???
 
kina lizzy, husninyo, DA, michelle etc mpo wap? Kaka Krolokwin tupo pamoja!
 
Daah! mda mchache hivyo ndg yetu? Basi kama ndo hivyo kwa wanaume wote basi na mimi nitakuwa nimeisha chakachuliwa.Jitahidi kuvumilia umpate uliyepangiwa na mungu
 
bosi muda wote huo hujapata zile ndoto zetu zikasaidia punguza patex? au umechoka kufua shuka zenye patex kibao
 
Wewe unaendekeza hiyo hali, binafsi nina mwaka na ushee na bado sijaona tatizo lolote.
 
Punyeto ni msaada mkubwa kwa tatizo linalokukabili,hasara ipo kidogo ya fedha kidogo za kununulia lubricant like soap,oil e.t.c
 
Kale nyeto tu mwanangu hilo wala hamna issue, siku hizi tena tuko mbioni kuihalalisha kabisa iwe legal....
 
Waswahili walisema UKIONA MTU MZIMA ANALIA UJUE KUNA JAMBO!!! Jamaa kazidiwa; mwenye uwezo wa kusaidia afanye hivyo!!!! Msijeishia kusikia mwana Jamii mwenzetu KABAKA bureeee
 
miezi saba si mingi kiivyo....endelea hadi upate anayekufaa!!!

naelekea kuamini kuna wanaume wanakuwa kwenye relatioshi for the sake of SEX only!

Acha utani aisee. Mi nikikaa siku kumi najisikia kuuelekea wendawazimu, we unasema miezi 7 si mingi!
 
Mwenzenu ni mwezi wa 7 sasa toka shemeji yenu na mimi tulipositisha mahusiano yetu ya awali. Ktk kipind hcho cjapata mpenz mpya wala kushiriki tendo la ndoa na mwanamke yoyote. Hapa nilipo nina magundi/mapatex ya ukweli, ukame umenitawala. Nishauri nifanye nin pls coz imefika hatua natamani nika purchase mlupo unipoze!

..Mpuuuzi kweli ww... mwenzio mie nina ukame miaka mi 3..... we hata mwaka bado
 
Back
Top Bottom