Hii rotich news has gone global.

Hehehe!!! Jamaa kapata celebrity status ya kiaina...
 
Hapa Nurdin na Kinoti wanajiona ni celebrity sana. Kwa kweli, Rotich ameniudhi kwa muda mrefu, ila hivi vita hakuna pahali vinaenda. Kwani Rais ni mlevi kiwango gani ili 7 billion zilipwe kama hajui? Si ni yeye aliyeweka saini kwa huo mkataba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…