Hii road map ikoje wakuu kwa FULL STACK WEB DEVELOPER?

Melxcom991

Member
Aug 2, 2021
48
25
IMG_1194.jpeg
 
Mh, hapa kama unapoteza mda

Kwa nini usijifunze kwa njia ya stacks

1. LAMP Stack (hii ni popular sana hasa tanzania, ni cheap ku host pia tutorials zipo nyingi youtube + large community support)

2. MEAN Stack (hii ni large scale production stack kama una web based SaaS au idea unaweza uka adapt hii stack, Mimi pia niliwahi ku migrate codebase kutoka java to MEAN)

3. MEVN Stack ( Haina tofauti sana na hiyo hapo juu sema unatumia vue frontend)

4. Django au Rails Stack ( hizi ukiwa advance kidogo kwenye python au ruby)
 
Haina makosa kama unataka Python, ila Flask/Django ni kama washindani so hauhitaji zote mbili, ila sio vibaya kujifunza zote.

Pia ungeweza kufanya JavaScript/Typescript kwenye backend so inakuwa ni lugha moja mbele na nyuma na imekuwa popular zaidi siku hizi kama hilo ni muhimu.
 
Mh, hapa kama unapoteza mda

Kwa nini usijifunze kwa njia ya stacks

1. LAMP Stack (hii ni popular sana hasa tanzania, ni cheap ku host pia tutorials zipo nyingi youtube + large community support)

2. MEAN Stack (hii ni large scale production stack kama una web based SaaS au idea unaweza uka adapt hii stack, Mimi pia niliwahi ku migrate codebase kutoka java to MEAN)

3. MEVN Stack ( Haina tofauti sana na hiyo hapo juu sema unatumia vue frontend)

4. Django au Rails Stack ( hizi ukiwa advance kidogo kwenye python au ru
Kaah!! Mpya kwangu hii mkuu
 
Haina makosa kama unataka Python, ila Flask/Django ni kama washindani so hauhitaji zote mbili, ila sio vibaya kujifunza zote.

Pia ungeweza kufanya JavaScript/Typescript kwenye backend so inakuwa ni lugha moja mbele na nyuma na imekuwa popular zaidi siku hizi kama hilo ni muhimu.
Hapo natak niive na django, natak niwe familia sana na python ili nijejifuz machine learning pia,
 
Back
Top Bottom