Hii ratiba ya ligi inaashiria nini?

Hii ratiba ya ligi inaashiria nini?

Nawauliza TFF hii mechi ratiba imekosewa au lengo kuihujumu Yanga.

Jumatano Yanga kucheza na JKT kisha Jumapili acheze na Simba mwisho wa wiki kucheza zimbabwe hii inaashiria nini ni bora mechi ya j5 ikaondolewa.

kuna habari mechi ya j5 wale wachezaji wenye kadi mbili za njano j5waongezewe ili mechi ya simba wqsicheze

Wabongo kwa kulalamika tu ni balaa, jifunze na wenzako wa majuu
 
Nawauliza TFF hii mechi ratiba imekosewa au lengo kuihujumu Yanga.

Jumatano Yanga kucheza na JKT kisha Jumapili acheze na Simba mwisho wa wiki kucheza zimbabwe hii inaashiria nini ni bora mechi ya j5 ikaondolewa.

kuna habari mechi ya j5 wale wachezaji wenye kadi mbili za njano j5waongezewe ili mechi ya simba wqsicheze

TFF wamewasikia watoto wa chama, wameisogeza mechi dhidi ya JKT huko mbele. Jambo la ajabu ni kwamba hata huko ilikosogezwa Yanga hawakutaki! Sasa uoga wa nini?
 
nayo isogezwe baada ya mechi na pratunam kabla ya marudiano kuna wiki 3
 
Back
Top Bottom