Hii picha nimeipenda sbb inanikumbusha mbali

... wa huku mjini ukiwauliza anakwambia bwana eee nilikuwa kwenye starehe zangu ndio ukapatikakana wewe wala sikupanga
Comment hii umenikumbusha mbali sana.....Mzee wetu wa jirani alikuwa na maneno machafu kama hayo...Kuna siku alimwambia mwanawe, wee kama isingekuwa ile bia ya mwisho....usingekuwepo hapa saa hizi....Dah kaazi kweli...
 
Back
Top Bottom