cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
mi mkongwe bwana usiniangushe mi sio wa juzi.Nimekubali mama kumbe kwa umri tunakaribiana, nilifikiri we wa juzi tu!
Sawasawa mama!mi mkongwe bwana usiniangushe mi sio wa juzi.
Ila raba mtoni zimekukaa mama! Na huo mguu, acha tu!
Ila raba mtoni zimekukaa mama! Na huo mguu, acha tu!
Those days were days bana, sikukuu ilikuwa kweli sikukuu sare nyumba nzima, jioni mnaenda kutembea somewhere. kwa jirani km wana nguo mpya nyie hamna daaaaaaaaaaaaah sikukuu inakuwa mbaya mnooooo
jamani fl1 si uliniruhusu mwenyewe niichukue kwenye ile albam yako!lolCheusimangala umetoa wapi picha yangu lakini???ππ
Mod naomba uitoe kwenye web yako nisijepata matatizo ya kifamilia
People...kuna kitu hapa....Jana mwanaJF fulani alitoa picha fulani ya members wawili wakiwa wadogo, na walikuwa eneo hilihili...Je hamuongezi 1 na 1 mkapata 8?
eheeeee umenikumbusha mabli mno... enzi hizo kipindi cha x mas na mwaka mpya nikiona maza karudi na box tu basi na jua ndani kuna MOKA na sis nae ana SKUNA zake... pia najua kuna mashati ya ndege na suruali za mchelemchele na zina mikanda ya kama mpira ina pad ya treni.... hahhhhhhh tumetoka mbaliiiii..... siku hiyo unatembea kama unanyata... hukai ovyo na wala hushiki chochote ovyo..... ila mkirudi tu nguo unaishia kuziona kwenye kabati mpaka upatikane mtoko... baada ya sikukuu kama mbili tatu ndio zinakuja mpya zingine..