Nani amekwambia vikao vya namna hiyo havifanyiki Ikulu!? Wewe wa wapi wewe!!!Uraisi ni taasisi!
Decision making ni process na sio just events!
Hakuna raisi anayejua kila kitu hivyo vikao vya namna hii ikulu vinatarajiwa zaidi kuliko matangazo toka kwa msemaji Mkuu wa raisi!
Usitegemee maendeleo toka kwa raisi anayejifungia peke yake ofisini halafu afumbue shida zote za nchi!
Labda tungoje siku malaika akiamua kutawala nchi yetu!
Kama kutakuwa na vikao vikifanyika basi wajumbe wake watakuwa kama wewe,@HammyDNani amekwambia vikao vya namna hiyo havifanyiki Ikulu!? Wewe wa wapi wewe!!!
Nani amekwambia vikao vya namna hiyo havifanyiki Ikulu!? Wewe wa wapi wewe!!
Maamuzi ya waziri kuwa ktk team ya kuvunja ukuta, au kumchagua fisadi na kumtoa wiki inayofuata, kuutangazia umma elimu bure na ada elekezi bila ya kufanya analysis juu ya feasibility ya pgm etc, vinanitia shaka kuwa hakuna panel inayojadili decisions za viongozi wetu! Daily briefing meeting ni kusikiliza amri tu toka kwa Mkuu lkn sio open dialogues ambapo maoni yana uzito sawa bila ya kujarisha aliyetoa ndio Mkuu au mtendaji tu wa kawaida! Professional opinions nadhani umuhimu wake unachukuliwa tunpale unapo coincide na maamuzi ya wakuu wetu wa taasisi!What d'u know about Daily Briefing Meeting?
Problem yako wewe unataka vikao vya Ilulu viwe kwenye tv ili uviangalie ukiwa chumbani kwako. Let the President do his job!! Watu kama wewe wamezidiwa na ulimbukeni na hata Raisi angefanya nini hutaona ni cha maana. Nasikia kuna wengine wanalalamika pia kuwa hasafiri nje kwa hiyo hajifunzi kwa wenzake. This is stupid. Mwache aongoze kutumia management skills alizo nazo. So far he has done ok. And i am saying this from a position of knowledge.Uraisi ni taasisi!
Decision making ni process na sio just events!
Hakuna raisi anayejua kila kitu hivyo vikao vya namna hii ikulu vinatarajiwa zaidi kuliko matangazo toka kwa msemaji Mkuu wa raisi!
Usitegemee maendeleo toka kwa raisi anayejifungia peke yake ofisini halafu afumbue shida zote za nchi!
Labda tungoje siku malaika akiamua kutawala nchi yetu!
Maamuzi ya waziri kuwa ktk team ya kuvunja ukuta, au kumchagua fisadi na kumtoa wiki inayofuata, kuutangazia umma elimu bure na ada elekezi bila ya kufanya analysis juu ya feasibility ya pgm etc, vinanitia shaka kuwa hakuna panel inayojadili decisions za viongozi wetu! Daily briefing meeting ni kusikiliza amri tu toka kwa Mkuu lkn sio open dialogues ambapo maoni yana uzito sawa bila ya kujarisha aliyetoa ndio Mkuu au mtendaji tu wa kawaida! Professional opinions nadhani umuhimu wake unachukuliwa tunpale unapo coincide na maamuzi ya wakuu wetu wa taasisi!
Labda ulikuwa unataka kujua nini juu ya daily debriefing meetings!
Sikiliza John, hiyo picha nimeipost makusudi kuleta uchokozi wa kisiasa!Uko
Uko tayari kujifunza au tayari unajua kila kitu??
Tuwekee picha kama vinafanyika kweli kama utoweka picha ntakuona unafikili kwa kutumia masabuliNani amekwambia vikao vya namna hiyo havifanyiki Ikulu!? Wewe wa wapi wewe!!!
umesema vema sana,washauri Wa rais wanajitune ili kusapoti wazo la rais,Kama anapenda safari wanajitune kumtafutia zakutosha,Kama hapendi hawamshauri asafiri Bali ni kusimamia astoke mtu...Sefue anadans na beet tu,awam ya4 waliruka kamarege saiv wametulia ki bluzi.Sikiliza John, hiyo picha nimeipost makusudi kuleta uchokozi wa kisiasa!
Sidhani kama kuna lolote la ziada unalolifahamu ambalo watanzania wengine hawalifahamu juu ya uendeshwaji wa taasisi zetu!
Huitaji kuingia ikulu au uone picha za vikao vya maamuzi ili ujue kuwa hayo anayoyafanya Obama kwetu hayapo!
Tazama uteuzi wa viongozi wa juu enzi za mkapa, Kikwete na Magufuli utaona katika kila idara mtendaji amewekwa na raisi mwenyewe, ona maamuzi ya Taasisi muhimu za serikali utagundua tu kuwa zinafanya kazi kwa jinsi aonavyo raisi!
Hebu tutazame EPZ ya Bagamoyo, ilifanywa na Mkuu wa nchi, kama cabinet au kuna chombo kingine chochote kinachofikiri pamoja na raisi haiwezakani in less than 3 months mpango wa zaidi ya dola bilion 10 leo ukawa hauna tija! Ikulu yetu ina idara gani ya maamuzi inayofahamika? Zaidi ya Ombeni na Raisi nani tena mwingine anayehusika ktk maamuzi! Je huoni maamuzi ya JK yalikuwa yanafanana na aiba zake na haya ya JPM pia wanafanana naye?
Sidhani kama kuna jingine unalolifahamu lkn raisi wa JMT anamiss sana chombo kikuu kitakachomsaidia ktk maamuzi!
Ok naomba kuelimishwa, labda kuna mengine siyafahamu kabisa!
Uko tayari kujifunza au tayari unajua kila kitu?
naona jamaa wamekaa kwenye kikao wapo huru kabisa kutoa mawazo yao kwa kila wanacho amini bila wasiwasi hata kama watamkosoa
What is 'position of knowledge'?Problem yako wewe unataka vikao vya Ilulu viwe kwenye tv ili uviangalie ukiwa chumbani kwako. Let the President do his job!! Watu kama wewe wamezidiwa na ulimbukeni na hata Raisi angefanya nini hutaona ni cha maana. Nasikia kuna wengine wanalalamika pia kuwa hasafiri nje kwa hiyo hajifunzi kwa wenzake. This is stupid. Mwache aongoze kutumia management skills alizo nazo. So far he has done ok. And i am saying this from a position of knowledge.