Hii picha kiboko!!!!!

Mh!hapo panaweza kutokea mvutano wa asili!
 
Duuh! Anatakutumia kipengele cha sheria ya ngapi bungeni kucheza mziki maana yake hata kucheka anaonekana kama analazimishwa.
 
Mheshimiwa, zile raizoni zako ulizitundika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…