Ndugu yangu sio kwamba anamuonea aibu ila tu haamini majicho kama kweli kapata ngekewa ya kucheza na mrembo Sepetu.Anaona ni ndoto za mchana.Ndo maana kakosa hadi pozi la kucheza,chezeya mtoto Wema wewe sauti tu unarukwa na akili,ikawe 0 distance ya hivyo?
Daahh..hata mimi huwa namtoleaga macho kweli huyu mtoto ingawa watu wanasema ni kicheche na gold digger ila to hell ngoja nikazitafute kwanza..!!lazima aliwe huyuu..!!